title

SBS Swahili - SBS Swahili

SBS Swahili

0
Followers
0
Plays
SBS Swahili - SBS Swahili

SBS Swahili - SBS Swahili

SBS Swahili

0
Followers
0
Plays
OVERVIEWEPISODESYOU MAY ALSO LIKE

Details

About Us

Listen to interviews, features and community stories from the SBS Radio Swahili program, including news from Australia and around the world. - Sikiza mahojiano, makala na hadithi za jumuiya kutoka Idhaa ya Kiswahili ya SBS Radio, ikijumuisha taarifa za habari kutoka Australia na ulimwenguni.

Latest Episodes

Baraza la biashara latoa jibu lakudumu kwa janga la mazingira

Wakati michango kwa maombi ya moto wa vichaka inaendelea kuwasili kutoka duniani kote, biashara nchini Australia nazo zime ahidi kutoa michango ya faida ya bidhaa zitakazo uzwa wiki hii.

6 MIN4 d ago
Comments

Scott Morrison adokeza kuanzishwa kwa tumeyakifalme kwa moto wa vichaka na mageuzi ya sera ya mazingira

Baada yaku kabiliwa kwa wiki kadhaa za ukosoaji kuhusu jinsi alivyo shughulikia dharura ya moto wa vichaka, waziri mkuu Scott Morrison ametangaza kuwa atachukua pendekezo lakuanzisha tume yakifalme yauchunguzi kwa moto huo wa vichaka katika kikao cha baraza la mawaziri.

7 MIN4 d ago

Tanzanian economic growth first part - Mtazamo wa ukuaji wa uchumi wa Tanzania sehemu ya kwanza

There have been many questions about the growth of the Tanzanian economy. SBS Swahili had the opportunity to speak with some international businessmen about the whole economic trend. - Kumekuwa na maswali mengi juu ya ukuaji wa uchumi wa Tanzania. SBS Swahili ilipata wasaa wa kuzungumza na baadhi ya wafanyabiashara wa kimataifa kuhusiana na mwenendo huo mzima wa uchumi.

25 MIN3 w ago

Risky Drinkers - Wanywaji pombe hatari

The Sax Institute report provides an insight into the worsening effects of dangerous drinking for young Australians and for the first time has assessed the second hand harm of teenagers.Frank Mtao reports - Utafiti mkubwa zaidi wa wanywaji wa hatari ya vijana hupa Australia umebaini wengi hukumbana na hatari nyingi kutokana na tabia za wengine za ulevi.Taarifa hiyo ya Taasisi ya Sax imeleta ufahamu juu ya athari mbaya za unywaji hatari kwa vijana wa Australia na kwa mara ya kwanza imekadiria jeraha la pili la vijana.Frank Mtao anatuarifu zaidi.

8 MIN2019 DEC 17
Comments
Risky Drinkers - Wanywaji pombe hatari

Want to keep fit? Try walking football - Unataka kujiweka sawa? Jaribu mpira wa miguu wa kutembea

Walking football is a modified version of soccer which is rapidly gaining popularity among the over fifties age group.Since its inception in 2011, more than 800 clubs have already been set up in the UK.Australia is following suit with Football Federation Australia planning to establish 110 walking football hubs across the country in the coming year. - Mpira wa miguu wa kutembea ni toleo la kandanda lililobadilishwa ambalo linapata umaarufu haraka miongoni mwa rika la zaidi ya umri wa miaka hamsini.Tangu kuanzishwa kwake mwaka 2011, zaidi ya vilabu 800 tayari vimeanzishwa nchini Uingereza.Australia inafuatia Shirikisho la Mpira wa Miguu Australia kupanga kuanzisha vilabu vidogo 110 vya mpira wa miguu nchini kote ifikapo mwakani.

10 MIN2019 DEC 15

School mate of Billionaire opens up - Aliyesoma na Bilionea afunguka

Ali Mufuruki (1959 ) was a Tanzanian businessman, author, founder and board member of several organisations. He was e founder of Infotech Investment Group, founding chairman of CEO Roundtable of Tanzania and Africa Leadership Initiative (ALI) East Africa, board chairman of Vodacom Tanzania and Wananchi Group Holdings, trustee of the Mandela Institute for Development Studies (MINDS) and co-author of the book Tanzania's Industrialization Journey, 2016–2056.He died on 7 December 2019 Saturday at the Morningside Hospital in Johannesburg, South Africa.SBS spoke to one of his colleague and he had this to say. - Ali Mufuruki (1959 ) alikuwa ni mfanyabiashara wa Tanzania, mtunzi, mwanzilishi na mwanachama wa bodi za mashirika mbalimbali. Alikuwa ni mwanzilishi wa kampuni ya uwekezaji Infotech, mkurugenzi mtendaji wa muungano wa Wakurugenzi Tanzania na Africa Leadership Initiative (ALI) Africa Mashariki, mwenyekiti wa bodi ya kampuni ya simu Tanzania Vodacom Tanzania na Wananchi Group Holdi...

14 MIN2019 DEC 15

Overcoming loneliness in a new country - Kuondokana na upweke katika nchi mpya

Language barriers, cultural differences, separationfrom family and friendsare just some of the reasons why many refugees and asylum seekers experience loneliness.In Sydney and Melbourne, refugee organisations offera range ofprogramsand initiativesto help new arrivals regain a sense of community and belonging in their new country.Our correspondent Frank Mtao has more information. - Vizuizi vya lugha, tofauti za kitamaduni, kujitenga na familia na marafiki ni baadhi ya sababu zinazowafanya wakimbizi wengi na wanaotafuta hifadhi kupata na tatizo la upweke.Katika miji ya Sydney na Melbourne, mashirika ya wakimbizi hutoa mienendo na mipango kadhaa ya kusaidia wanaowasili wapya kupata tena hisia za jamii na kujisikia nchi mpya ni yao pia.Mwandishi wetu Frank Mtao ana maelezo zaidi.

10 MIN2019 DEC 3

1Oth Anniversary Celebration of Swahili Mass Community - Maadhimisho ya miaka 10 misa za jumuiya ya Kiswahili

During 10th anniversary celebration, Fr Njenga and Gitau call for peace, love and unity among the Immigrants from Swahili speaking zone. - Wakati wa sherehe za maadhimisho hayo, Fr Njenga na Gitau walitoa wito wa amani, upendo na umoja miongoni mwa Wahamiaji kutoka ukanda wa wanaozungmza Kiswahili.

11 MIN2019 DEC 1

Serikali yatoa viza mpya zauhamiaji wakikanda

Viza mpya zimezinduliwa, kuwa hamasisha wanao hudumia wanyama mbugani, wasanifu wa majengo, wanasayansi, wanao tengeza vyuma, wapasuaji, watu wanao tengeza tiba zakitamaduni pamoja na wataalam wengine, wahamie katika maeneo yakikanda.

6 MIN2019 NOV 25

Bingwa watetezi DR Congo, wabanduliwa katika michuano ya soka ya NSW

DR Congo ili ingia katika robo fainali ya michuano ya soka ya jamii zaki Afrika zinazo ishi mjini Sydney, New South Wales, ikiwa na matumaini yaku fuzu kwa nusu fainali kutetea ubingwa wake.

8 MIN2019 NOV 24

hmly
himalayaプレミアムへようこそ聴き放題のオーディオブックをお楽しみください。