Himalaya-The Podcast Player

4.8K Ratings
Open In App
title

Siha Njema

France Médias Monde

0
Followers
0
Plays
Siha Njema

Siha Njema

France Médias Monde

0
Followers
0
Plays
OVERVIEWEPISODESYOU MAY ALSO LIKE

Details

About Us

Makala inayojadili kwa kina masuala ya afya, tiba na kutambua magonjwa mbalimbali bila ya kusahau namna ya kukabiliana nayo. Watalaam walibobea kwenye sekta ya afya watakujuvya na kukuelimisha juu ya umuhimu wa kuwa na afya bora na si bora afya. Pia utawasikiliza kwa maneno yao watu ambao wameathirika na magonjwa mbalimbali na walikumbwa na nini hadi kufika hapo walipo.

Latest Episodes

Siha Njema - Fistula Tishio kwa Wajawazito wanaochelewa kufika Hospitali wakati wa Uchungu

Kwa Mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) zaidi ya wasichana na wanawake milioni 4 ulimwenguni wanaishi na tatizo la Fistula huku wanawake kati ya 50,000 na 100,000 wakipata tatizo hili kila mwaka. Ungana na Steven Mumbi katika Makala ya Siha Njema kuangazia Ugonjwa huo.

10 MIN2019 JUN 27
Comments

Siha Njema - Lishe bora kwa watu wenye afya njema

Makala ya siha njema juma hili inaangazia mlo bora kwa watu wasio na matatizo kiafya,ikiwa ni mwanzoni mwa mwaka jamii inashauriwa kuwa na maazimio ya kula vizuri pia...

9 MIN2019 JAN 31

Siha Njema - Fahamu kuhusu Homa ya Dengue

Karibu kujifunza kuhusu homa ya Dengue ambayo dalili zake nihoma ya ghafla, kuumwa kichwa, maumivu ya viungo na uchovu...kufahamu mengi zaidi tegea sikio..

9 MIN2018 SEP 28

Siha Njema - Fahamu kuhusu lishe bora kwa watoto

Karibu kuangazia umuhimu wa lishe bora kwa watoto,wataalamu wa afya kutoka jijini Dar es salaam wanaangazia maana ya lishe na kwa vipi jamii inaweza kuwapatia watoto ili kusaidia ukuaji mzuri..

Siha Njema - Maziwa ya mama ni kinga kwa afya ya mtoto

Leo makala ya siha njema inaangazia umuhimu wa unyonyeshaji maziwa ya mama baada ya kugundulika kuwa wanawake wengi hawatilii maanani suala hilo..

10 MIN2018 SEP 28

Siha Njema - Umuhimu wa wakunga katika kupunguza vifo vya wanawake wakati wa kujifungua na watoto wachanga

Dunia yaadhimisha siku ya wakunga na kubainisha umuhimu wao katika kupambana na vifo vya wanawake wajawazito na watoto wachanga wakati wa kujifungua..

Siha Njema - Siku ya kupambana na ugonjwa wa malaria duniani

Malaria bado ni tishio katika mataifa yanayoendelea hasa katika bara la Afrika,tunaangazi augonjwa huu wakati huu dunia ikiadhimisha siku ya malaria ya kimataifa..

8 MIN2018 SEP 28

Siha Njema - Ripoti ya shirika la afya duniani yaonya kuhusu ongezeko la visa vya saratani

Ripoti ya Shirika la afya duniani WHO kuhusu ongezeko la visa vipya vya saratani na vifo. Sabina Mpelo ameakuandalia makala hii kwa kuzungumza na watu mbalimbali akiwemo Waziri wa Afya wa Tanzania, Ummy Mwalimu

10 MIN2018 SEP 21

Siha Njema - Fistula inatibika jamii yatakiwa kuwasaidia waathirika

Jamii imetakiwa kuwasaidia waathirika wa fistula badala ya kuwabagua na kuwanyanyasa.Tatizo la Fistula linatibika kwa nchini Tanzania matibabu hutolewa bure katika hospitali ya CCBRT jijini Dar es salaam..fuatilia zaidi makala haya.

8 MIN2018 JUN 2

Siha Njema - Fahamu tatizo la Autism au usonji na namna ya kukabiliana nalo

Makala ya siha njema juma hili inaangazia usonji,kitaalamu Autism ambapo shuhuda Lucy Ruhasha mtanzania anasimulia namna alivyogundua tatizo hilo kwa mwanae wa kwanza na kukabiliana nalo...

9 MIN2018 JUN 2

hmly
Welcome to Himalaya LearningDozens of podcourses featuring over 100 experts are waiting for you.